Kwa sasa unaweza kuuza bidhaa mtandaoni na kupokea malipo bila wasi wasi kwa kutumia @azampay.

Azampay wameboresha mfumo wao wa kufanya malipo mtandaoni ambapo mteja utapata uwezo wa kulipia bishaa mbali mbali kwa kutumia mitandao ya simu pamoja na Visa na mastercard.

wewe kama mtoa huduma unaweza kuwasiliana na RodLine kwa ajili ya kubadilisha biashara yako na kuweza kuuza mtandaoni na kupokea malipo kutoka kwa wateja wako kwa ktumia azampay.

RodLine tunatengeneza website za kuuza bidhaa online (E-commerce websites), websites za kampuni, NGO’s pamoja na software.

Unasubili nini wasiliana nami sasa nkuelekeze jinsi ya kubadilisha biashara yako na kuuza online.

Websites zenye azampay:

#Plugin #Updates #Azampay #imerahisisha #kufanya #malipo #kwenye #website #Wordpresswoocommerce #online

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *