Plugin Updates: Azampay imerahisisha kufanya malipo kwenye website ya WordPress/woocommerce online
Kwa sasa unaweza kuuza bidhaa mtandaoni na kupokea malipo bila wasi wasi kwa kutumia @azampay. Azampay wameboresha mfumo wao wa kufanya malipo mtandaoni ambapo mteja utapata uwezo wa kulipia bishaa mbali mbali kwa kutumia mitandao ya simu pamoja na Visa na mastercard. wewe kama mtoa huduma unaweza kuwasiliana na RodLine kwa ajili ya kubadilisha biashara […]